Acha huo ujinga ....huyu ndio mwanaume wa ukweli....mwanamke akizingua hapo hapo onyesha tofauti yenu sio mambo ya kuongelea pembeni wana midomo domo sana hawa wakina dada
Safi sana,anadharau sana huyu,sijui kwa vile ana hela,ndo maana hawezi kanyaga ulaya,maana anahitajika Paris ili kujibu mashitaka ya kumbaka dancer wake,aendelee kumuonea huyo huyo mjinga mjinga Cindy le coeur
Victoire,
Huyu demu Cindy le Coueur namuonea huruma jinsi Koffi anavyomnyanyasa. Na yeye mwenye amekuwa kusema mtu aiye jihurumia, maana amekuwa kama msukule. Unakuta Koffi anaondoka na mwanamke mwingine baada ya show lakini yule demu hathubutu hata kuleta vurugu. Amefanywa kama mke - Kijakazi (refer to biblical days stories jinsi wafalme / Matajri walivyokuwa wanalala na kuzaa na vijakazi wao).
Niliona mwaka juzi Koffi akifanya sherehe ya kumkabidhi babake Cindy gari aina Jaguar (kuu kuu sijui la mwaka gani🙂 kama sehemu ya mahari. Na sasa kusikia tayari ameshazaa na Kofii nikasema mtoto kwisha habari.
Inasemekana Koffi alimwahidi mambo makubwa lakni kubwa ikiwa ni kujenga jina na Kipaji chake. Lakini mwisho wa siku si jingine kubwa ni affair. Hivyo kipaji cha Cindy ndani ya bendi ya Koffi Olomide ni cha 'kutumiwa' zaidi kuliko kuendelezwa.
Binafsi kwa mtazamo wangu naona ni afadhali Cindy angalibakia kuwa Gospel Singer kule kwenye bendi ya Pastor Charles "Carlyto' Lassa, (The ex le TP OK Jazz Band legendary Vocalist singer back in the good old days 70's to late 80's) kabla ya kurubuniwa na Koffi na kuishia.
Hebu mtazame (kwenye video attached below) hapa Bi Cindy alipoanzia akiwa Gospel singer kwa Pastor Carlyto Lassa.Katika safu ya wasichana kwenye hii video ni wa kwanza kutoka kulia.
Wikiendi njema.
I don't see this happening in Tanzania. Well done Kenyans. Huku kwetu mchina kampiga hadi kumuua mfanyakazi aliyedai nyongeza ya mshahara na vyombo vya ulinzi vimehamia Dodoma kwenye mkutano wa chama.
Wakenya wanafiki.
Mbona Gavana Kidero alimpiga kofi mbunge Rachel Shebesh na hakufanywa kitu?
Na mpaka leo hii bado ni gavana!
Upuuzi mtupu.
I don't see this happening in Tanzania. Well done Kenyans. Huku kwetu mchina kampiga hadi kumuua mfanyakazi aliyedai nyongeza ya mshahara na vyombo vya ulinzi vimehamia Dodoma kwenye mkutano wa chama.
Waipate fresh kwa mpango gani? Congolese are not stupid to support huyu mpuuzi na hakuna chochote atafanya zaidi ya kuomba msamaha zaidi akifika kwao, kwanza inabidi awe arrested akifika Congo kwa kumshambulia mwanamke wa Congoa small incident jamaa wakaona wachukue point tatu. well sawa, lakini manyang'au huko kongo wataipata fresh. si wanaju kukimbilia mali za watu. koffi kwao ana ushawishi mkubwa manyang'au na wenyewe wategemee wenzao kupata shida. wasije hapa na kuanza kupayuka maana kwa unafiki hawajambo. hivi yule dada alipata hata mchubuko kweli! hata hivyo sio kitu kizuri kumshambulia mtu.
Mkuu BAK bado tunasafari ndefu sana.
Inawezekana hili la Wakenya kuja juu kuonyesha msimamo wao dhidi ya unyanyasaji wa wanawake likaifungua macho Serikali na hivyo kuanzia sasa kuweka nguvu katika kupambana na udhalilishaji wa wanawake kwa namna yoyote ile, iwe hadharani au majumbani mwa wahusika. Serikali inaweza kuona kwamba kwa kupinga udhalilishaji dhidi ya wanawake inaweza kujiongezea umaarufu na kujiongezea kura kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2017.
Kacheze unapochezagaAcha huo ujinga ....
Kashishi said: ↑
Victoire,
Huyu demu Cindy le Coueur namuonea huruma jinsi Koffi anavyomnyanyasa. Na yeye mwenye amekuwa kusema mtu aiye jihurumia, maana amekuwa kama msukule. Unakuta Koffi anaondoka na mwanamke mwingine baada ya show lakini yule demu hathubutu hata kuleta vurugu. Amefanywa kama mke - Kijakazi (refer to biblical days stories jinsi wafalme / Matajri walivyokuwa wanalala na kuzaa na vijakazi wao).
Niliona mwaka juzi Koffi akifanya sherehe ya kumkabidhi babake Cindy gari aina Jaguar (kuu kuu sijui la mwaka gani🙂 kama sehemu ya mahari. Na sasa kusikia tayari ameshazaa na Kofii nikasema mtoto kwisha habari.........
Mkuu, kuna watu wanasema kuwa wakongo ni wachawi sana...you never know!!
Ni kweli kabisa. Koffi husifika sana kwa sifa ya ushirikina ('Ulozi' kama wenyewe waitavyo kule DRC) akihusishwa zaidi na Mama yake mzazi inadaiwa na kusemekana kuwa ati ndiye "Gwiji" na mhimili wake mkuu katika mafanikio yake ya kimuziki.
Nakumbuka safari moja nilikuwa jijini Kinshansa, DRC na ilikuwa wana long weekend holiday pale. Ikatokea kwamba weekend hiyo Koffi naye alikuwa anapiga show ya kufa mtu pale Hilton Hotel. Hii ilikuwa show ya oldies but goodies (yaani Bakulutu... aka "Rumbha Solosolo" ikiwa lengo ni pamoja na kuwaenzi nyimbo za wanamuziki wa kale...achana na hii abrakata anayopigia show za vijana siku hizi.
Nakumbuka kiingilio ilikuwa $100.00 kila kichwa.Tulipofika dirisha ya kuhakiki na kununua tiketi mwenyeji wangu alinitonya kuwa huyo Bi mkubwa anayechukua pesa (Cashier) ndio Mama mzazi wa Koffi. Binafsi nilishangaa sana nikauliza mwenyeji wangu kwani huyu jamaa hana management team. Nikaambiwa Koffi anapopiga show Kinshansa mshika pesa ni mama yake. Na hata hiyo inayoitwa 'management team' inamgwaya huyo mama jinsi alivyokuwa authoritative.
La mwisho ni kuwa kuna jambo moja ambalo nimeli note ambalo kwa Koffi liko tofauti na wanamuziki wengine. Koffi Olomide nimemuona hapendi ku entertain (au ku encourage) habari ya 'kumtunza' awapo jukwaani akiwajibika. Unamuona kabisa kuwa hapendi au hakaribishi au siyo rafiki wa hiyo tabia. Na akiipokea ile pesa huwa haitii mfukoni mwake kama wanamuziki wengine tuliowazoea wawapo majukwaani. Yaani akipokea tu huziweka (kusanya) zile pesa kwenye sakafu. Na yeye siye ataondoa hizo pesa kwa floor. Nimekuwa nikijiuliza na hii nayo ni nini au ndio masharti ya wale jamaa ma consultants🙂 (akina Babalao au Sangoma) Hahaha
Haya bwana wikiendi njema.
huyu ndio mwanaume wa ukweli....mwanamke akizingua hapo hapo onyesha tofauti yenu sio mambo ya kuongelea pembeni wana midomo domo sana hawa wakina dada
Unaweza dundwa wewe badala yake, usijiaminishe hivyo. Nakumbuka shule aliwahi dundwa mbabe mmoja aliyekuwa anatusumbua sana na jamaa wa kawaida.Safi sana wakenya, kwa hili mmenifurahisha sana. Huu unafaa uwe mfano wa kuigwa. Mimi nikikuona unampiga mwanamke mbele yangu basi ujue nahusika moja kwa moja, lazima nikupe vitasa vya maana uweke kumbukumbu maishani mwako.
PAMELA-OLOMIDE DID NOT ASSAULT ME!Safi sana... uonevu mkubwa kaonyesha Koffi.. na mbaya zaidi alimpiga teke la nguvu dancer wake wa kike Jomo Kenyatta airport, very shame...!!
PAMELA-OLOMIDE DID NOT ASSAULT ME!Jana niliangalia citizen tv ya kenya na kumwona koffie Olomide akimshambulia mkata kiuno wa bendi yake kwa mateke ya kufa mtu nilisikitika sana kitendo cha kumpiga mateke huyo dada .Shukrani za kipekeee zimwendee mkuu wa Jeshi la polisi wa Kenya kwa kuwaamrisha polisi wake kumfumirisha leo hii saa tano na nusu asubuhii .embu pitia hapa kwa bbc swahili Koffi Olomide atimuliwa kutoka Kenya
23 Julai 2016
Mshirikishe mwenzako
Mwanamuziki kutoka Jamhuri wa Demokrasi ya Congo Koffi Olomide amesafirishwa kwenda mjini kinshasa kutoka Nairobi baada ya kukamatwa Ijumaa usiku.
Olomide alisafirishwa na shirika la ndege la Kenya Airways, kutoka uwanja wa Jomo Kenyatta mwendo wa saa tano unusu asubuhi.
Mwanamuziki huyo alikuwa amekabiliwa na shutuma baada ya kanda ya video kuenea mtandaoni ikionekana kumuonyesha akimshambulia mwanamke uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Ijumaa asubuhi, muda mfupi baada ya kuwasili.
Mwanamke huyo anadaiwa kuwa mmoja wa wachezaji ngoma wake.
Akiongea katika kituo cha televisheni ya Citizen, muda mfupi kabla ya kukamatwa, Olomide alijitetea na kusema hakukusudia kumshambulia mwanamke huyo.
Alisema alikuwa ameingilia kisa ambacho aliamini ni mtu aliyetaka kumpokonya mmoja wa wachezaji densi wake pochi yake au kulikuwa na vurugu fulani.
Olomide alikamatwa muda mfupi baada ya kumaliza mahojiano katika kituo kimoja cha runinga jijini Nairobi.
Mkuu wa polisi nchini Kenya Joseph Boinnet alikuwa ametoa taarifa na kuwaagiza polisi wachukue hatua.
Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
FacebookTwitterWhatsApp
Rejea mwanzo wa ukurasa
Swahili navigation
YaliyomoHabariMichezoVideo