Koffi Olomide na Mkewe Cindy Le Couer

Hatimaye mwanamuziki nguli kutoka Congo 🇨🇩 Koffi Olomide amefunga ndoa na mpenzi wake wa miaka mingi, Cindy Le Cœur…

Mwanzo walianza kuficha mahusiano yao, kama Nasibu na Zuhura, baadae wakaamua kuyaweka wazi… Wakaanza kuishi kinyumba, wakazaa, sasa wameamua kufunga pingu za maisha
 
Raha sana
 
Hamissa wa Congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…