Koffi Olomide na Mkewe Cindy Le Couer

Sijajua kk kwa sababu ni muda sija itegea sikio KBC Taifa, sauti ni ya mkenya 😂.....

Tanzania napo radio zikawa nyingi plus wachungaji kila upande nadhani kama yupo anahudumu zaidi Kenya japo ni muda sasa
Yule Mzee alijua kuimiliki kipaza Sauti na Iie sauti yake ya zege.

Mungu amlinde.
 
Halafu pia kuna mkongoman aliwahi niambia Adolf muteba Tshilamwina alifariki.
 
Huyu jamaa Adolf Muteba Chilawena namjua sana kipindi nafanya biashara ya kusafilisha vitenge kongo kuna bosi alikua anafanya kazi na huyu jamaa..

Mara ya mwisho nilimsikia kwa fally ipupa myday mayday
 
yule chuchu zimesimama 😁,
ila Mopao mshenzi sana mamaeee
ile ngoma noma sana, Fally ipupa na mwenzie Fere Gola wanakatika miuno 😆

Quadra Kora Man (V12) ni mtu mwerevu, anajipenda (self love), anapenda wanawake wazuri. Basi huyo mama chuchu za kusimama sio mdogo pale, pale Mopao amekwisha mchakaza na ameshamzalia DiDistone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…