Heshima kubwa kwako Mkuu, naamini hata hilo jina lako Chivundu umelitoa kwenye kibao cha Loi pale kwenye kibwagizo anasema Chiiivunduuuuuu
😄😄😄 Unanipa raha sanaa mkuu, kuna siku nitakutafta tupige story vizuri inaonekana una madini lukuki kumuhusu huyo LegendHa ha ha. Pamoja sana mkuu.
Utamsikia Koffie mbele hapo, anasema "Nakobanga mino tee, nakobanga nzambe na ngai, hallelujah. Anasema "Simuogopi mtu yeyote, namuogopa Mungu tuu".
Umetema BUSARA tupu for FREE...🤝Naona kama una chuki binafsi na mshana mbona mada haiitaji hata kua na hasira kujibu hata kama Kuna makosa ya information..tena mada yenyewe ya burudani mziki tena mziki wa Congo...hii haifai hata kidogo,,mambo haya madogo kama ni mtu mzima unaejitambua unamuelewesha mtu bila matusi na fedheha..unakua kama mtoto bwana ..au mwanamke mwenye wivu ..wanaume hatunaga hayo mambo
😄😄😄 Unanipa raha sanaa mkuu, kuna siku nitakutafta tupige story vizuri inaonekana una madini lukuki kumuhusu huyo Legend
Hahahahahahahahahaaha Daaah! Mkuu umejua kunidukua kweli kweliNicheki Mzee kesho weekend nipo free, naamini namba yangu bado unayo mzee wa VW Touareg. 😁
Hahahahahahahahahaaha Daaah! Mkuu umejua kunidukua kweli kweli
😁😁 Labda kama unamuheshimu weweanayeheshimika sana hapa J
Mbanga tu huyoInakera kuona mtu anayeheshimika sana hapa JF kupost uongo. Anaokoteza stori za vijiweni na kuja kupost hapa
Maelezo Yako nimeyapendaWana mtoto mmoja ni copy & paste ya Koffi. Ila kiukweli kwa jinsi Youyou Tshivundu alivyokuwa enzi zake hata mimi nisingemwacha. Alikuwa ni kisu hatari.
😆,Quadra Kora Man (V12) ni mtu mwerevu, anajipenda (self love), anapenda wanawake wazuri. Basi huyo mama chuchu za kusimama sio mdogo pale, pale Mopao amekwisha mchakaza na ameshamzalia DiDistone.
Sasa vijana wamsitukie ili waende wapi wakati nao wanataka uzoefu? Unafikri wanaweza kusimama peke Yao?Kwa kuongezea Coffie ni mtu a anaetumia vijana. Utakuta mziki wake kashirikisha vijana wadogo wadogo. Anavuna energy ya vijana, siku vijana wakimshitukia huenda akayumba.
una tukonga nyoyo zetu na uchambuzi,Ha ha ha. Pamoja sana mkuu.
Utamsikia Koffie mbele hapo, anasema "Nakobanga mino tee, nakobanga nzambe na ngai, hallelujah. Anasema "Simuogopi mtu yeyote, namuogopa Mungu tuu".
Wanaweza. Vijana wengi wamejengwa ktk kutojiamini. Kipaji huzaliwanacho mtu labda uwe huna kipaji. Ndio maana hata ktk siasa vijana wamekuwa wakitumiwa tu wakati wanaouwezo ila wanasubiri hisan ya wazee. China USA haipo hivyo vijana ndio chachu ya kila kitu.Sasa vijana wamsitukie ili waende wapi wakati nao wanataka uzoefu? Unafikri wanaweza kusimama peke Yao?
Mbanga tu huyo
[emoji23][emoji706] umaskin unaweza kuathiri mengi sana kuanzia mwilini Hadi akilini.Maelezo Yako nimeyapenda
😆,
hiyo V12 idadavue mkuu,, mie ni mweupe kabisa 🤣,, napenda sana ngoma za mzee mopao
Nitolee upumbavu wako hapa. Huna tofauti na ile misukuke ya Mwamposa. Kwanini ukubali kudanganywa kijinga? Yaani nchi bado ina watu wajinga mno. Mtu mwongo anatetewa na mimi ninayepinga uongo mnanishambulia... inashangaza.Naona kama una chuki binafsi na mshana mbona mada haiitaji hata kua na hasira kujibu hata kama Kuna makosa ya information..tena mada yenyewe ya burudani mziki tena mziki wa Congo...hii haifai hata kidogo,,mambo haya madogo kama ni mtu mzima unaejitambua unamuelewesha mtu bila matusi na fedheha..unakua kama mtoto bwana ..au mwanamke mwenye wivu ..wanaume hatunaga hayo mambo
Naona kama una chuki binafsi na mshana mbona mada haiitaji hata kua na hasira kujibu hata kama Kuna makosa ya information..tena mada yenyewe ya burudani mziki tena mziki wa Congo...hii haifai hata kidogo,,mambo haya madogo kama ni mtu mzima unaejitambua unamuelewesha mtu bila matusi na fedheha..unakua kama mtoto bwana ..au mwanamke mwenye wivu ..wanaume hatunaga hayo mamboNitolee upumbavu wako hapa. Huna tofauti na ile misukuke ya Mwamposa. Kwanini ukubali kudanganywa kijinga? Yaani nchi bado ina watu wajinga mno. Mtu mwongo anatetewa na mimi ninayepinga uongo mnanishambulia... inashangaza.