Koffi Olomide:Special thread

Koffi Olomide:Special thread

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,781
Reaction score
13,444
Habar za wakati huu ndugu wana-board
Tafadhali,husikeni na mada tajwa hapo juu.Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Koffi Olomide a.k.a Papa Fololo,a.k.a Papa na Didi Stone,a.k.a Nicholous Sykoz,a.k.a Mopao Mokonzi a.k.a Charles Antoine Koffi Olomide naomba tukutane hapa kwenye uzi huu kwaajili ya ku-share habar kibao na nyimbo zake (ikiwa ni pamoja na nyimbo zake zote za audio,videos/eclipse/clips pamoja na live concerts/shows bila kusahau nyimbo mbalimbali alizoimba kama acapela au guitar version)

Naomba kutaja baadhi ya nyimbo zake ili wenye nazo waweze kuzi-appload humu kwenye uzi huu

1.Monde Arabe
2.Abracadabra
3.Jour de jeio
4.Changement de mentality
5.Selfie photo
6.Andrada
7.Respect
8.Riziki
9.Kisanola
10.Effrakata

Karibuni tu-enjoy music mzr kutoka kwa Mopao a.k.a Quadra Kora Man

Tafadhalini sana moderators, msiuunganishe uzi huu na nyuzi nyingine!
 
Aisee mi namkubali yule kjana wake sjui anaitwa nani aloimba nae kwnye ile ngoma ya tshou tshou tshou tule ale danse ba boss hivi anaitwa nani wakubwa??
 
Back
Top Bottom