Koffie Olomide apigwa marufuku kukanyaga Zambia

Koffie Olomide apigwa marufuku kukanyaga Zambia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Minister of National Guidance and Religious affairs , Rev.Godfridah Sumail told the media that Koffie Olomide will be arrested if he showed up the shows he has been invited for in Zambia .

Source : Mwebantu . com

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba sababu kubwa ya serikali ya Zambia kuchukua uamuzi huo ni kutokana na kitendo cha Koffie kumtandika makofi mcheza show wake jukwaani alipotumbuiza Zambia miaka ya nyuma , kitendo kilichotafsiriwa kama unyanyasaji .

Show za Koffie zilipangwa kupigwa tarehe 27 July Banquate Hall - Lusaka na tarehe 28 July Mindolo Hall - Kitwe.

Mipango yote ilikamilika na tayari ninayo tiketi ya onyesho la Lusaka , ni nani atanirudishia Hela yangu pamoja na tiketi ya ndege ?
 
Promota wa Afrika akurudishie chako? Utapata tabu sana
Hata nikienda ubalozi wa Zambia sitasaidiwa ? nimejiuliza pia kwanini mpaka tiketi tunauziwa serikali ya Zambia ilikaa kimya ?
 
Koffie anatakiwa anivae mtu kama mimi tupeane discipline , sio kuoneaonea mabinti
 
Back
Top Bottom