Hongera pia.
Kimantiki valley ni mfereji unaopokea wa maji yatokayo kwenye bati za juu ya valley husika na kutiririsha chini.
Umhim wa valley.
1-Kuzuia maji ya mvua, umande na takataka zingine kudondokea ndani.
2-Kujusanya maji na kuyatirirsha chini na baadhi ya takataka takataka.
Kwa huduma zote za ujenzi na kila kitu kwenye nyumba,
Wasiliana nasi Uvimo Civil Group
0753927572 -WhatsApp
0629361896 -Kupiga
View attachment 2197508