Kofia ya moto ya thamani ya mafuta yawadondokea G7

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Hapo juzi mataifa ya G7 yakiongozwa na Marekani yalipitisha azimio la kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya kutoka Urusi.

Katika mpango huo nchi hizo zimekubaliana kuwa bei ya mafuta ya Urusi isizidi dola 60 kwa pipa moja..ikizidi hapo mataifa hayo wamesema hawawataki mafuta ya Urusi.

Katika mpango huo meli zote zitakazosafirisha mafuta ya Urusi kwa thamani ya zaidi ya bei hiyo (pice cap) zitasitishiwa bima zao,

Madhumuni ya mpango huo ni kuinyima Urusi kupata faida kubwa itakayowawezesha kuendelea na vita dhidi ya Ukraine.

Muda mfupi baada ya azimio hilo kama kawaida yake Zelensky alisema nchi za G7 hawajafanya chochote katika kuiadhibu Urusi kwani thamani hiyo ni kubwa sana.Alitaka bei ya pipa iwe ni dola 49 tu.

Kwa upande wake Urusi baada ya tamko hilo ilisema wala hawatawauzia mafuta yao nchi yoyote itakayotekeleza mpango huo wa kofia ya bei.badala yake wataendelea kuuza kwa washirika wao peke yao..

OPEC nao Urujsi ikiwa ni mmoja wa wajumbe wao wamekataa kuzalisha mafuta zaidi ili kulinda soko lao bila kujali kusaidia mpango wa g7.

Baada ya mchana mmoja tu wa kutekeleza azimio hilo imeonekana kuwa bei ya mafuta duniani imepanda kwa mara nyengine kiasi kwamba nchi hizo itabidi wanunue kwa bei kubwa zaidi kuliko walivyopanga kuyapata maruta ya Urusi kwa bei nafuu.

Baadhi ya wachumi wa mataifa hayo wameanza kutoa matamshi ya kuonesha kofia ya bei ya mafuta huenda isifanya kazi iliyokusudiwa.
 
Nilijua tu hawa wapumbavu wanajichoma kisu wenyewe! Yani unapanga bei ya bidhaa fulani wakati huohuo bidhaa hiyo hauzalishi wewe wala huna namna ya kuikwepa 😅😅

Hakujawahi kuwa na shoga mwenye akili timamu
 
Nyie masikini wa dunia ya tatu, tulieni muone jinsi dunia inavyoendeshwa na wababe....
Kwani huyo Russia hakuwa na hayo mafuta na gesi miaka ya 60, 70, 80, 90...
Na wababe walimpiga kobis.....
Leo hii ndio anagundua anayo...
 
Katafute historia zote utagundua Urusi ndio ilikuwa ikimfunza adabu mbwa yeyote aliyekosa adabu kwenye hii sayari yetu pendwa.
 
Hapo juzi mataifa ya G7 yakiongozwa na Marekani yalipitisha azimio la kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya kutoka Urusi.

Katika mpango huo nchi hizo zimekubaliana kuwa bei ya mafuta ya Urusi isizidi dola 60 kwa pipa moja..ikizidi hapo mataifa hayo wamesema hawawataki mafuta ya Urusi.

Katika mpango huo meli zote zitakazosafirisha mafuta ya Urusi kwa thamani ya zaidi ya bei hiyo (pice cap) zitasitishiwa bima zao,

Madhumuni ya mpango huo ni kuinyima Urusi kupata faida kubwa itakayowawezesha kuendelea na vita dhidi ya Ukraine.

Muda mfupi baada ya azimio hilo kama kawaida yake Zelensky alisema nchi za G7 hawajafanya chochote katika kuiadhibu Urusi kwani thamani hiyo ni kubwa sana.Alitaka bei ya pipa iwe ni dola 49 tu.

Kwa upande wake Urusi baada ya tamko hilo ilisema wala hawatawauzia mafuta yao nchi yoyote itakayotekeleza mpango huo wa kofia ya bei.badala yake wataendelea kuuza kwa washirika wao peke yao..

OPEC nao Urujsi ikiwa ni mmoja wa wajumbe wao wamekataa kuzalisha mafuta zaidi ili kulinda soko lao bila kujali kusaidia mpango wa g7.

Baada ya mchana mmoja tu wa kutekeleza azimio hilo imeonekana kuwa bei ya mafuta duniani imepanda kwa mara nyengine kiasi kwamba nchi hizo itabidi wanunue kwa bei kubwa zaidi kuliko walivyopanga kuyapata maruta ya Urusi kwa bei nafuu.

Baadhi ya wachumi wa mataifa hayo wameanza kutoa matamshi ya kuonesha kofia ya bei ya mafuta huenda isifanya kazi iliyokusudiwa.

Duh! Hizi tafsiri hizi! Kwahiyo kofia ya bei ndo price cap? job true true!
 
Back
Top Bottom