Kofia za Majeshi: Nani alianzisha uvaaji Berrets?

Wickama

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,466
Reaction score
1,196
Hivi hizi kofia za Berrets zilianzishwa na nani na kwa madhumuni gani? Mwenye kujua, atuhabarishe.

th
th
 
Hiyo ni kuongezea sare kama sare nyingine. Naomba kukuuliza; kwanin baadhi ya wahudumu wa ndege wanavaa kofia pia??
 
Hata wale polisi jamii wa Dar waliowakimbia panya road na kujificha kwenye madust bin nao wanavaa bellets!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu, sijajaaliwa kuona air hostess, sheikh au askofu akiwa na berret
 
nadhan mleta mada ana conspiracy theory anataka kuileta ila anaanzia mbali kutaka kujua kama kuna watu wanaijua au la! plz mzee mwaga ubuyu ulichonacho maana otherwise kofia ni normal kwa wengi na kwa nn usiulize aina nyingine ya kofia zaid ya ii zinazovaliwa uko kwenye majeshi?
 
Hata wale polisi jamii wa Dar waliowakimbia panya road na kujificha kwenye madust bin nao wanavaa bellets!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

asee naona ka uchokozi kidogo hapo, anagalia wasikusikie wale kumi walio ingia chini ya uvungu wa vits.
 
Berets have features that make them very attractive to the military:
(1) they are cheap, easy to make in large numbers,
(2) they can be manufactured in a wide range of colors,
(3) They can be rolled up and stuffed into a pocket or beneath the shirt epaulette without damage, and
(4) They can be worn with headphones (this is one of the reasons why tank crews adopted the beret).

However the beret is not so useful in field conditions for the modern infantryman, who requires protective helmets, and is usually not seen worn by infantry on operations.

Military beret - Wikipedia, the free encyclopedia
 
bona, hiyo avatar yako, huyo n Field Martial Erwin Romel? (Wüstenfuchs)
 
Last edited by a moderator:
Berets have features that make them very attractive to the military:
(1) they are cheap, easy to make in large numbers,
(2) they can be manufactured in a wide range of colors,
(3) They can be rolled up and stuffed into a pocket or beneath the shirt epaulette without damage, and
(4) They can be worn with headphones (this is one of the reasons why tank crews adopted the beret).

However the beret is not so useful in field conditions for the modern infantryman, who requires protective helmets, and is usually not seen worn by infantry on operations.

Military beret - Wikipedia, the free encyclopedia

Nice kick Mkuu. Pia are not meant for dress number one ( sio kwa ajili ya matukio rasmi kama sherehe). Hiyo ndo sehemu ya casual dress ya hao watu.
 
Back
Top Bottom