Wana JF naomba taarifa kuhusu hizo scholarship kama ni mpaka utoe hela ?
Kwanza , Nilifanya usaili hatua ya kwanza na ya pili , lakini nakumbuka kuwa mtu aliyeshinda ni mtu ambaye aliniambia siku ya usaili kuwa yeye aliletwa katika Mastes program niliyoombwa na wenzagu watatu tu kutoka program nyingine. ( ? ).
Pili, jamaa yangu wa karibu pia hata kabla ya kufanya usaili koica walimpigia simu kuwa hakubatika kuchaguliwa na tayari wamechagua mtu mmoja ambaye atakwenda Korea kusoma masters Degree.
Hali hii inaleta maswali mengi sana????????????????????