Mkuu kuna mahali imesemekana pameuzwa??Huwezi kuendeleza bila kuuza? Unafikiri zile open to public beach Miami nani anaziendeleza? Ni serikali za mtaa na manispaa kwa kutumia kodi za wananchi vizuri.
Kichwa cha habari ndio kinavyosema. Unapajua Bravo coco beach? Kwa uwekezaji wa aina ile kuna tofauti gani na kuuza.Mkuu kuna mahali imesemekana pameuzwa??
Sa itakuaje????
Itakua mwendo wa viingilio...Sa itakuaje????
Hapo sawaItakua mwendo wa viingilio...