Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kokoto nyeupe hazina shida, muhimu utumie ratio nzuri (1:3:6)wakuu je kokoto nyeupe kwaaajili ya beam na lenta nyumba ya vyumba viwili ,sebule ,jiko na choo zinafaa kwa unjezi maana ni bei nafuu kuliko nyeusi wataalam naomba msaada kama zinafaa nitumie tu ili kupunguza garama
nifafanulie hii ratio kidogo nielewe(1:3:6) yaan ndoo moja ya siment, mchanga ndoo tatu, kokoto ndoo sita si ndio vp kuhusu water and simenti rationKokoto nyeupe hazina shida, muhimu utumie ratio nzuri (1:3:6)
Hata maghorofa unayoyaona mjini yale ya zamani, kokoto zilizotumika katika ujenzi wake ni hizo hizo kokoto nyeupe (ilikuwa ni kabla ya hizi kokoto nyeusi kuanza kutumika)
Ndionifafanulie hii ratio kidogo nielewe(1:3:6) yaan ndoo moja ya siment, mchanga ndoo tatu, kokoto ndoo sita si ndio vp kuhusu water and simenti ration