Kokotoa hesabu ii

BashiriOnline

Senior Member
Joined
Nov 5, 2012
Posts
127
Reaction score
44
Toa Jibu Katika Hii Hesabu!!
 

Attachments

  • Hesabu Kavu.jpg
    44.4 KB · Views: 152
...
....na mwendelezo wake utakuwa hivi. 68, 79, 90, 101,112,123,134,145,156,167,178,189, 200,211,222,233 na kuendelea
 
namba ya mwisho kulia ndo unaanza kuiandika kwenye jibu. kwa kua jibu linatakiwe liwe na namba mbili basi namba ya pili unaipata kwa kujumulisha namba tatu ulizo pewa.
mfano:
113= unachukua namba ya mwisho ndo ianze kwenye jibu yaani 3.
halafu namba ya pili unaipata kwa kujumulisha namba ulizo pewa yaani 1+1+3=5
so hii tano unaiweka nyuma ya 3 jibu linakua 35.
So katka swali tulilopewa la 117 jibu ni 79. mia
 
Wanafunzi meshagundua JF ndio msaada eeh haya jibu hilo hapo 79
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…