Kolo, Dunduka na Utopolo yana maana yoyote?

Kolo, Dunduka na Utopolo yana maana yoyote?

Kitendo cha kuyasikia tu tayari unajua maana yake ila umeamua kujidai wa kishua sana, ungekua wakishua sana usingeyajua hata hayo maneno..

Utopolo maana yake wali
Dunduka maana yake ni maharage
 
Dunduka ni nazi, Kolo ni neno kutoka lugha ya Kizambia likimaanisha mjomba.

Ukiitwa Kolo itika tena malizia ulibwaji

Ila ukiitwa Utopolo, pigana.

Haijalishi huyo aliyekuita ni kipande cha mtu wa namna gani ila rusha ngumi ikiwezekana hata mawe.
 
Back
Top Bottom