Komando Jide kwenye hili goma la wanok nok alipiga bonge la chorus

Komando Jide kwenye hili goma la wanok nok alipiga bonge la chorus

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Kwenye hili collabo la watu wazima Mandojo & Domokaya "Wanok nok" walilo mshirikisha komando Jide.

Komando alikinukisha upande wa chorus vibaya sana.
"Wanafki nafki watu wa kupakazia
Yasowahusu wao kuingilia
Maneno yao ni kama ya simba
Ukiyasikiliza lazima utaaminia
Wanok nok watu wa kusingizia
Madem wa watu washkaji wanawarukia
Kumbe ni waongo
Wao wenyewe ndo wanaowatokea

Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia".
Halafu wanamalizia wazee wazima kilaini na verses zao.

Ulimwengu huu una mambo tena we unaijua dini
Uchu kama maskani kwa mi sikosi msikitini aah
Ngoja wakati wa kali mambo poa
Nikipitia mkoso kodoa pita sogoa mate kupalie kohoa
Lugha chafu ngwajipe na hili jingine halijakwisha
Katika wa aibu mshipa
Haufai hata kwa service
Umemcheki demu wako leo kesho amewahi kufika
Anaifahamu ratiba msela huwa anenda saa tisa
Huja gym saa sita pekanga ngani ya pickup
Usifate tetesi zake mnoko atakuumiza kichwa
Sifa akizidisha demu ka hakufai kabisa
Utakunja ndita sevu mi ni furaha ya mfa haki
Juzi guse mtungi na tone la mvuke wa bati unoko sitaki katia mbati
Wakina mama watu wazima
Wenye kuchamba wima wamezaliwa wanasema
Si safi sa kusema tunaigiza nchi za kiri
Nyie makaka poa huyu mjamaa inamhusu

Nani ii

Wanafki nafki watu wa kupakazia
Yasowahusu wao kuingilia
Maneno yao ni kama ya simba
Ukiyasikiliza lazima utaaminia
Wanok nok watu wa kusingizia
Madem wa watu washkaji wanawarukia
Kumbe ni waongo
Wao wenyewe ndo wanaowatokea

Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia

Wamezoea kupakazia kurukia
Ya kwao yanawashinda
Ya watu wayavalia njuga
Hao wanafki chakubimbi
Ya kwao mengi twayafahamu mmh
Tumenyamaza tu
Kuwaheshimu kwani tumeamua kuwasitiri ooh

Hadithi hadithi hadithi njoo
Uwongo njoo utamu kolea
Si ndo vijamaa flani vinok nok
Watu tukichunguza umbea non stop
Yani ninarap pop sipendi unok
Wasio na madem yani za kwao soap

Hawana sera hawana hela hawa masela
Hawana sera hawana hela hawa masela

Wanafki nafki watu wa kupakazia
Yasowahusu wao kuingilia
Maneno yao ni kama ya simba
Ukiyasikiliza lazima utaaminia
Wanok nok watu wa kusingizia
Madem wa watu washkaji wanawarukia
Kumbe ni waongo
Wao wenyewe ndo wanaowatokea

Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia

Tumewastukia mpenzi tumewastukia njoo tudance
Achana nao wanok kusema wataharibu penzi
Puuza miluzi ya shuga dady ndani ya benz
Njoo tudance, njoo tudance

Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia aah
Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia aah
Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia aah
Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia aah

Tumewastukia wanok tumewastukia aah

#Wakongwe Kazini
 

Attachments

Site pale kwenu masoni hakukuwa na hizi ngoma,msalimie Sana simple AKA King manyota na gid chahe🤣🤣🤣
Gidion chahe nampata acha utani hizi nyimbo pale ndo mahali pake
 
Unanikumbusha nyakati nzuri hadi moyo unauma
Nyakati nzuri ila ukimwi ulikuwa umepamba moto. Watoto wa IFM walikuwa wanajiuza mpaka getini kwao miaka hiyo.

Unakumbuka bei ya mchele, soda, unga, kodi, nauli, mishahara na sukari kipindi hicho?! 😄👍🏾
 
Back
Top Bottom