Komando na Manati

Mbona hawakutuonyesha drones na ishu za electronic warfare, maana vita ya siku hz imebadilika sana, kuna hitajika men on boots but bila drones na jammers hiyo vita itakuwa ngumu sana kwako. Wajifunze kupitia vita ya Ukrain.

Hayo malori na vifaru siyo sababu ya wewe kushinda vita, drones electronic warfare ndiyo kila kitu, kuanzia kwenye survaillance mpaka guidance ya mabomu na artillery. Rwanda wanewekeza sana kwenye hilo baada ya kuona amszungukwa na nanchi yenye silaha nzito nzito.
 
Mazingira ni tofauti.

Komando wa uarabuni sidhani atahitaji aina ya nyenzo kama wa Congo drc.
Mbona wale waumoja wa mataifa walioenda Congo na Monusco hatukuona hizo manati. Nahisi huyo jamaa alikuwa nasherehesha tu hizo manati sijui beleshi sidhani kama ni tactical. Kamanda anapaswa kubeba silaha muhimu zitakazo msaidia, sasa fire extinguisher, sufuria, sijui beleshi za nini? Alafu mbona sura ni zile zile za hao makomando au tunao wachache, au hao ni kwa ajili ya sherehe, unaweza kuta ni majamaa ya skauti tu.
 
Maswali ya kijinga kabisa sasa kwani wewe hujui kazi ya fire extinguisher, sufuria na beleshi??
 
Mbona makomandoo wa Urusi, Ukraine, Israel ambao wapo kwenye real battle hatuoni wakiwa wamebeba manati.
Vita ni taaluma pana vilevile, unapozungumzia issue ya SF ina vitu vingi mno, kuna moja ya zoezi la ku handle kukamata nyoka wakali especially anatumika sana cobra na kumuua na kunywa damu yake ukiachana na mapigano tu kuna namna ya kuishi na msitu (jungle survival) kwahiyo in reality kuna mengi achana na sinema.
 
Ungepita hta skauti TU usingeuliza swali hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…