mbezibeach 2
Senior Member
- Jun 28, 2011
- 166
- 51
kuna mmoja wao alilkuwa anaitwa Tostao,clasmate mabibo p/s!jamaa alikuwa na roho mbaya sana,lakini aliuawa kama sikosei!walipiga sana watu bisibisi za kwapa bonde la mchicha mabibo,lol
Hiki kikundi kilizuka wakati ule kilipotelea wapi? nakumbuka mkuu wao alkuwa anaitwa jenerali nyau..sijui nae yuko wapi siku hizi...hiki kikundi kama ingekuwa sasa hivi tungeambiwa wametumwa na chadema....
Umenikumbusha yule dogo Tostao...Alisilimisha sana watu ktk Bonde la mchicha na ule uwanja wa sahara....Unawakumbuka Mwinshehe na Chande licha ya kuwa wanasoka wazuri pia walikuwa ktk Group hili?
Na kikundi kingine kiliitwa Seven Komando...
Nakumbuka niliwahi kuhusishwa kuwa ni mmoja wao hadi pale nilipotoa maelezo ya kina na kufanikiwa kuwashawishi polisi na kujisafisha.
Gang Chomba katoka mbali jama dah
Umenikumbusha yule dogo Tostao...Alisilimisha sana watu ktk Bonde la mchicha na ule uwanja wa sahara....Unawakumbuka Mwinshehe na Chande licha ya kuwa wanasoka wazuri pia walikuwa ktk Group hili?
Hawa komando yosso walikuwa wakikuvamia nyumbani kwako wanasafisha kila kinachobebeka,kwani walikuwa wanakuja kundi la watu kama 10 au 15
Sent from my iPhone using JamiiForums app