Kombati aliyovaa Sugu mahakamani kwenye hukumu ya Mdude imetengenezwa na Sean John. Je, P Didy anaijua Chadema?

Kombati aliyovaa Sugu mahakamani kwenye hukumu ya Mdude imetengenezwa na Sean John. Je, P Didy anaijua Chadema?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Haya mambo wakati mwingine yanashangaza sana !

ngoja tuilete kwenu muithaminishe

FB_IMG_1623671766178.jpg
BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“✌️✌️✌️”%22_.jpg
 
Kama picha inaonesha bado kuna mtu amevaa halafu unauliza nani bado anavaa mbona unashangaza sasa
🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Hana uwezo wa kuelewa jibu hilo.
 
Mleta uzi ndo tushampoteza kila akiamka anaiona cdm kama maji ya uzima. Fuatilieni tu kila nusu saa kaleta mambo hayohayo ambayo kwa hali ya kawaida mwingine huwezi kupoteza brain kuanza kufananisha. Ila Cdm hawanaga huruma wangemuwahisha hospital fasta. Tumuombee tu sasa
 
Wewe mbona unateseka hivyo... Ungekuwa moderator ungekuwa na roho nyeusi Kama mchawi...
 
Kweli mmeishiwa agenda.
Hili nalo ni la kuanzishia uzi kweli!
Chadema tayali mshapotea kwenye mstari.
 
Nembo ya sean john iko wapi?
au umeamua kutuona mabonanza?​
 
Back
Top Bottom