Kombe la Afcon laibwa katika Makao Makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kombe analokabidhiwa Bingwa wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON limeripotiwa kuibiwa kutoka makao makuu ya Chama cha Soka cha Misri, EFA

Makamu wa rais wa zamani wa EFA, Ahmed Shobier ametoa madai ya kushangaza kuwa kombe hilo lenye thamani kubwa Afrika limepotea katika mazingira ya kutatanisha.

---
Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Misri, EFA, Ahmed Shobir amesema kombe la AFCON limepotea katika makao makuu ya Shirikisho hilo

Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON lilikuwa limehifadhiwa Misri baada ya timu ya Pharaohs kushinda kwa mara tatu mfululizo tangu mwaka 2006 hadi 2010

Watendaji wa Shirikisho hilo wamedai ya kuwa kombe hilo lilikuwa limehifadhiwa kwa nahodha wa timu ya taifa, Ahmed Hassan. Hassan amekanusha hilo na kusema alikaa nalo kwa siku moja baada ya kushinda na alikambidhi tangu mwaka 2011

Imesemekana kuwa EFA ilitaka kuweka medali na kombe hilo katika makao makuu ya ofisi zake siku ambayo wangesheherekea mwaka wa 100 wa kuanzishwa kwa shirikisho hilo, ndipo walipogundua kombe halipo

Afcon.jpg

====

Former Egyptian Football Association (EFA) Vice-president and current ONTime Sports broadcaster, Ahmed Shobir, claimed that the Africa Cup of Nations trophy has disappeared from the headquarters of the EFA.

According to Shobir, EFA employees said that former Egypt national team captain Ahmed Hassan kept the trophy with him.

Hassan denied the claim, saying that he kept the trophy at home after winning the Africa Cup of Nations title in 2010 and gave the trophy back to the Egyptian Football Association in 2011.

Egypt were allowed to obtain a special full size replica of the trophy after winning three Africa Cup of Nations titles in a row between 2006 and 2010.

"The EFA board wanted to put trophies and medals in a museum inside the EFA headquarter as the EFA celebrates its 100th anniversary but they were surprised when they found that the trophy was lost." Ahmed Shobir said.

Hossam Hassan was the national team's captain in 2006 and lifted the trophy in front of 80k fans at Cairo stadium.

Ahmed Hassan was the national team's captain in 2008 in Ghana and 2010 in Angola.
 
kuna siku wataenda muiba Rais huko ikulu, wananchi wapate kazi ya kumtafuta Rais wao. Wezi si watu wema kuishi
 
Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Misri, EFA, Ahmed Shobir amesema kombe la AFCON limepotea katika makao makuu ya Shirikisho hilo

Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON lilikuwa limehifadhiwa Misri baada ya timu ya Pharaohs kushinda kwa mara tatu mfululizo tangu mwaka 2006 hadi 2010

Watendaji wa Shirikisho hilo wamedai ya kuwa kombe hilo lilikuwa limehifadhiwa kwa nahodha wa timu ya taifa, Ahmed Hassan. Hassan amekanusha hilo na kusema alikaa nalo kwa siku moja baada ya kushinda na alikambidhi tangu mwaka 2011

Imesemekana kuwa EFA ilitaka kuweka medali na kombe hilo katika makao makuu ya ofisi zake siku ambayo wangesheherekea mwaka wa 100 wa kuanzishwa kwa shirikisho hilo, ndipo walipogundua kombe halipo
1599250424127.png

====

Former Egyptian Football Association (EFA) Vice-president and current ONTime Sports broadcaster, Ahmed Shobir, claimed that the Africa Cup of Nations trophy has disappeared from the headquarters of the EFA.

According to Shobir, EFA employees said that former Egypt national team captain Ahmed Hassan kept the trophy with him.

Hassan denied the claim, saying that he kept the trophy at home after winning the Africa Cup of Nations title in 2010 and gave the trophy back to the Egyptian Football Association in 2011.

Egypt were allowed to obtain a special full size replica of the trophy after winning three Africa Cup of Nations titles in a row between 2006 and 2010.

"The EFA board wanted to put trophies and medals in a museum inside the EFA headquarter as the EFA celebrates its 100th anniversary but they were surprised when they found that the trophy was lost." Ahmed Shobir said.

Hossam Hassan was the national team's captain in 2006 and lifted the trophy in front of 80k fans at Cairo stadium.

Ahmed Hassan was the national team's captain in 2008 in Ghana and 2010 in Angola.
 
Kombe analokabidhiwa Bingwa wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON limeripotiwa kuibiwa kutoka makao makuu ya Chama cha Soka cha Misri, EFA

Makamu wa rais wa zamani wa EFA, Ahmed Shobier ametoa madai ya kushangaza kuwa kombe hilo lenye thamani kubwa Afrika limepotea katika mazingira ya kutatanisha.

View attachment 1558752

Sent from my VS987 using JamiiForums mobile app
😂😂😂
 
Back
Top Bottom