Tusiongelee Jana Arsenal kutolewa.
Leo hali mbaya kwa Man City. Hadi sasa City 1 - 2 Brighton.
Liverpool na Chelsea wanajuana Hawa. 1 - 1.
A Villa kala mbili bila kwa Bournemouth.
Bado Kuna Sunderland na Brentford, na Bado Palace na Fulham.
Mechi zote hazijaisha, ila wakifungwa Man City kwangu amaniiiiii.