Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Simply Bcoz we can't tell the difference btn genuine and counterfeit, or we don't care. Thats where our problem lies.kila kitu kibovu kinakuja nchini kwetu kwanini?
Its time huyo maximo awekwe kiti moto na ajieleze ukweli bwana....tumechoka na sababu anazotoa..haana first 11 for 4 years...nimeangalia second half nikiwa ofisini pamoja na wafanyakazi wenzangu ambao ni waingereza na wao wampigwa butwaa na mpira tunaocheza yaani butua butua...
Its time huyo maximo awekwe kiti moto na ajieleze ukweli bwana....tumechoka na sababu anazotoa..haana first 11 for 4 years...nimeangalia second half nikiwa ofisini pamoja na wafanyakazi wenzangu ambao ni waingereza na wao wampigwa butwaa na mpira tunaocheza yaani butua butua...
I think he needs to resign and tell us that he no longer has the cabability to take us further...kashachuma mamilioni na anatufanya sis wajinga...wachezaji wanyao kipaji ila maximo anapangua timu all the time
Kiongozi , wewe una guts sana aisee. Ningekuwa mimi nisingeweza kuitambulisha timu bovu kama lile kuwa ni li neshno tim la taifa langu. Ni aibu kinyama.
Kwa utambulisho kama huo nadhani sasa wataanza kukumulika hata na na wewe mazee..(kiddin')
Hadi mchezo unaisha Rwanda 2 vs Kilimanjaro Starz 1.
Mshindi wa tatu ni kati ya Kilimanjaro starz na Zanzibar starz zote za Tanzania.
teh teh teh...Kesho na sisi tunanyolewa, Uganda wako vizuri saana. nadhani Maximo safari imewadia
teh teh teh...ngoja tusikilizie!Ngoja sasa tusikilize ngonjera za Maximo! Mhhhhhhhhhh ningekua mimi ningeanza taratiiiibu safari ya kuelekia home! lakini si mtu wa mkulu?????
teh teh teh...ngoja tusikilizie!
maurinho ilimchukua miaka mingapi kuipata ubingwa chelsea?maximo yeye hachezi, kazi yake ni kufundisha.nanivizuri tutambue mpira ni professional kama zilivyo nyingine.na hivyo basi maandalizi ya kila mwana taaluma huanza mapema kabisa na huchukua muda mwingi takribani miaka 14 na kuendelea ili mchezaji awe amejengeka kama zilivyo fani nyingine unaanzia chekechea, unaenda primary,secondary na baadae chuo kikuu na kuendelea. Wachezaji wetu wengi hawana msingi mzuri wa kimichezo kuanzia body physique,altitude,behaviour ,psychology n.k,hawajaandaliwa vizuri tangu mwanzo, inakuwa vigumu kwa kocha kuwabadilisha watu wanamna hii na kuleta matokeo mazuri, hata umlete kocha gani? Bado matokeo hayatakuwa yakuridhisha, hii haina tofauti na adult education ( mtu unakuja kufundisha vizuri ukubwani wakati huna msingi mzuri utotoni). Nivizuri tuangalie kwa mapana sio tu kumwangalia kocha tu, chamsingi tuandae watoto wetu kwa matokeo mazuri ya baadae.
Ngoja sasa tusikilize ngonjera za Maximo! Mhhhhhhhhhh ningekua mimi ningeanza taratiiiibu safari ya kuelekia home! lakini si mtu wa mkulu?????
maurinho ilimchukua miaka mingapi kuipata ubingwa chelsea?
hidink amekaa muda gani chelsea?kifupi maximo sio kocha.tizama kocha wa simba phiri alivyoibadilisha simba au kocha huyu wa yanga utaona kazi anavyoijua.