kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Mashabiki wa yanga pigeni kelele na vigeregere
Kombe la msimu huu ni lenu
Msimu huu kuna maajabu ambayo Mashabiki wa mpira barani africa watashangaa
Kifupi tu timu ambazo wengi walizoea kuona zikicheza final ya club bingwa hakuna hata moja itafika final ya club bingwa