Kombe la club bingwa msimu huu ni la yanga

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mashabiki wa yanga pigeni kelele na vigeregere
Kombe la msimu huu ni lenu

Msimu huu kuna maajabu ambayo Mashabiki wa mpira barani africa watashangaa
Kifupi tu timu ambazo wengi walizoea kuona zikicheza final ya club bingwa hakuna hata moja itafika final ya club bingwa
 
ilo picha lako la kweny id yako linasadifu akili yako ilivyo kweny Robo ya msimu huu timu tano zishacheza fainaili Asec,Tp mazembe. mamelod,ES Tunis,Ahaly kwahyo wew kwa akili yako ao watano wasicheze fainaili afu vyura mfike fainaili mnaota nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…