Kombe la Dunia 2022: Senegal yafuzu kuingia Hatua ya 16 Bora

Kombe la Dunia 2022: Senegal yafuzu kuingia Hatua ya 16 Bora

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Senegal.jpg
Ushindi wa magoli 2-1 umeifanya timu hiyo kuwa ya kwanza kutoka Afrika kusonga mbele katika michuano ya 2022 baada ya kuifunga #Ecuador katika Kundi A.

Magoli ya Senegal yamefungwa na Ismaila Sarr na Kalidou Koulibaly, hivyo kuungana na Uholanzi iliyoifunga Qatar magoli 2-0.

Mechi za Kundi hilo zimemalizika Uholanzi ikiwa na pointi (7), Senegal (6), Ecuador (4) na wenyeji Qatar (0)
 
Kulul nafsi dhulkat imaut
Qatar Allah katutupa
Innaallah maaswabirin
 
Nipo sambamba na timu za Afrika mpaka fainali. Tunawasubiri Ghana na Morocco wafuzu.
 
Watakutana na uingereza kama Leo wakishinda
 
Back
Top Bottom