Kombe la dunia kwa ngazi ya vilabu kuanza mwaka 2025

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025.

Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa.

Umepokeaje?

#FIFAWorldCup
1671195215080-jpg.2449006
 
Ni jambo zuri. Ila kwa ngazi ya vilabu timu 32 ni chache. Nafasi zitakuwa chache mno na ushindani utakuwa wa mkubwa sana.

Kwa mfano kombe la dunia la timu za taifa lenye washindani 32 kwa Africa tumeingiza timu nne tu.

Niambie kombe la dunia la vilabu mambo yatakuwaje.
 
Hili simba lazima twende 😀 😀
Antonnia
 
Ni jambo zuri. Ila kwa ngazi ya vilabu timu 32 ni chache. Nafasi zitakuwa chache mno na ushindani utakuwa wa mkubwa sana.

Kwa mfano kombe la dunia la timu za taifa lenye washindani 32 kwa Africa tumeingiza timu nne tu.

Niambie kombe la dunia la vilabu mambo yatakuwaje.
Afrika Timu 5
 
Timu chache zenye ubora sio kijaza timu za kwenda kufungwa goli 5 , wasi wasi ni mda upo?
 
OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025.

Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa.

Umepokeaje?

#FIFAWorldCup
1671195215080-jpg.2449006
Bujibuji World Championships
 
Back
Top Bottom