Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Hili simba lazima twende π πOFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025.
Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa.
Umepokeaje?
#FIFAWorldCup
Wawakilishi watatokana na Africa super leagueHili simba lazima twende π π
Antonnia
Afrika Timu 5Ni jambo zuri. Ila kwa ngazi ya vilabu timu 32 ni chache. Nafasi zitakuwa chache mno na ushindani utakuwa wa mkubwa sana.
Kwa mfano kombe la dunia la timu za taifa lenye washindani 32 kwa Africa tumeingiza timu nne tu.
Niambie kombe la dunia la vilabu mambo yatakuwaje.
Timu chache zenye ubora sio kijaza timu za kwenda kufungwa goli 5 , wasi wasi ni mda upo?Ni jambo zuri. Ila kwa ngazi ya vilabu timu 32 ni chache. Nafasi zitakuwa chache mno na ushindani utakuwa wa mkubwa sana.
Kwa mfano kombe la dunia la timu za taifa lenye washindani 32 kwa Africa tumeingiza timu nne tu.
Niambie kombe la dunia la vilabu mambo yatakuwaje.
Bujibuji World ChampionshipsOFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025.
Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa.
Umepokeaje?
#FIFAWorldCup