john issa
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 856
- 1,638
Poleni na tabu za kuishi bila umeme na maji Tanzania!
Ndugu zangu, kwa mara ya kwanza kombe la dunia linanikuta sio mwanafunzi, naishi kwangu na kazi nzuri, na niko na utulivu angalau. Nilitamani sana niangalie hili kombe kwa furaha na utulivu sana.
Nikiwaza umeme unavokatika muda mwingi kuliko muda ambao unakuwepo FURAHA INANIISHA GHAFLA NA NAJIKUTA NAJUTIA KUISHI Bongo. Nataman ningekuwa nimejenga , ningenunua ata solar power.
Kama makamba yuko humu, ajitahidi umeme asikate hiki kipindi, bhanaaa.... Kombe likiisha aendelee na mchezo wake.
Tatizo dogo tunashindwa kutatua duuuuu