Kombe la dunia linadhihirisha maombi, sala na dua havina mchango mkubwa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Timu zote ambazo zina wachezaji wengi wanaosali sana kabla ya kuingia viwanjani, kwenye mechi na baada ya mechi zimetolewa, imebaki Argentina na zile tu ambazo zina mchezaji mmoja au wawili wanaofanya ibada viwanjani.
 
Mambo mengine Mungu ahusiki, hata ukimuomba hakupi, anajua yako ndani ya uwezo wako
 
Hizo dua ni kwenu wapuuzi wa kiafrika, ila wenzetu n mipango.
 
Sio kwenye michezo tu hata kwenye kila jambo watu wanaosali na kuomba sana hua hawatoboi.kwakawaida mungu huwabariki wale wanaoshukuru na kudhamin walichopewa kupitia sayansi maana dunia inataka sayansi na sio miujiza ya maombi na sala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…