KOMBE LA DUNIA NA kuchelewa kurudi nyumbani

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
natamani kama world-cup ingechezeshwa hata mwaka mzima.....
haka ndo ka-mwezi pekee kakuchelewa kurusi nyumbani kwa kizingizio cha NILIKUWA KWENYE BIG SCREEN

HEEEEY MY BRAAAAAA UTIIIINIIIIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEENAAAAA!
legreeeeend maan shap shaaaaaaap!

Ndugu yenu nimeshapewa ruhusa ya kuchelewa kurudi,sijui watu wangu x-pin,next level,maskini jeuri,fidel,roya roy,kaizer,KIMEY,edson,D5,BAK,na wengineo

WITO MAALUMU:firstlady1,carmel,mwanajamiione,nyamayao,askofu,bht,js,charity et al naomba MUWAPE RUHUSA WAWEKEZAJI WAUNGANE NA WAWEKEZAJI WENZAO KWENYE MA-BIG SCREEN kwa ajili ya kushangiliaa WOOOOOZAAAA WOOOZAAAAA!hakuna mkakati wa kudumisha desturi NI MAMBO YA WELDI-CUP TU!

tunaanza leo sasa:SOUTH AFRICA VS MEXICO,then saa mbili hivi ni FRANCE VS URUGUAY
 
visingizio hamkosi wakati TBC one wanarusha moja kwa moja
 
visingizio hamkosi wakati TBC one wanarusha moja kwa moja
tibisii wani hawarushi mama!kuna tibisii moja hivi inaitwa tibisii tuu!inalipiwa.....!hata hivyo mpira haunogi kuangalia na wife,mnaweza jikuta mmehamia kitandani mnacheza mechi yenu:bounce:
 
Mimi: Mamito ngoja niende hapo Etiennes nikaangalie mpira
Waifu: Si uangalie hapa nyumbani, TBC wanaonyesha
Mimi: Raha ya mpira kuangalia kwa pamoja na wadau
Waifu: wadau ndo kina nani, kaa hapa nyumbani tutaangalia kwa pamoja;
Mimi: Aaaa mama, raha uwe unapata na kabia bana
Waifu: Usijali ntaenda kukununulia

Napiga mahesabu, mama kabana kila kona. Karata ya mwisho inatafutwa

Mimi: Mama raha ya weldi kapu ni kuangalia kwenye big skriini
Waifu: haya bana, nenda na ufunguo kabisa, usije kunigongea ukatishe usingizi wangu.......

BIG SKRIIN na WELDI KAPU: Sababu pekee ya ruhusa ya kukubaliwa kuchelewa kurudi home.

Long livu Weldi kapu, long livu Big Skriin>>>>> Elizaaaaaz................
 
Hii ni fursa pekee ya nyumba ndogo kubebeshwa mimba.
 
Hizi ruhusa nazo unatakiwa kuwa nazo makini manake unaweza ukajua sasa unaiba kumbe wewe
ndio unaibiwa kibingwa ndugu zangu kuweni makini kwa hizi ruhusa za rejareja.
 
Hizi ruhusa nazo unatakiwa kuwa nazo makini manake unaweza ukajua sasa unaiba kumbe wewe
ndio unaibiwa kibingwa ndugu zangu kuweni makini kwa hizi ruhusa za rejareja.

Kuibiwa kuangalia kombe la dunia au?
 
Mimi nashangaa tangu juzi anaiangalia mara mbili mbili ratiba ya Kombe la Dunia niliyoibandika home, halafu yuko interested na time za games.
 
Hii ni fursa pekee ya nyumba ndogo kubebeshwa mimba.
hahahahaha!mkuu ******* safari hii atahamia kabisa KIMARA-BARUTI.....!kwa mamaa la j-o-y
 
haka ka chansi mkuu unaonaje WELDI KAPU ikachezeshwa hata mwaka mmoja mfululizo WOOOZAAA!WOOOZA!
 
Leo sijui nirudi saa ngapi!!
 
Mimi nashangaa tangu juzi anaiangalia mara mbili mbili ratiba ya Kombe la Dunia niliyoibandika home, halafu yuko interested na time za games.

Hapo mzee lazima mle koli koli labda uwe unaangalizia kazini unamweleza karibu na kazini kuna bar wanaonyesha naangalia hapa hapa.
 
Leo sijui nirudi saa ngapi!!
LEO NDO nzuri zaidi kuchelewa maanake si ndo ufunguzi....!kwa anaetaka VUVUZELA!ninayo hapa marafiki wote wa jf mnakula moja moja mambo ya WOOOOOZAAAA!WOOOOZA
 
Mimi nashangaa tangu juzi anaiangalia mara mbili mbili ratiba ya Kombe la Dunia niliyoibandika home, halafu yuko interested na time za games.
Mi alinishangaa na interests zangu za mechi za usiku..........Lakini ndo hivyo tena. Weldi kapu na Big Skriin.......The only reason:closed_2:
 
Mi alinishangaa na interests zangu za mechi za usiku..........Lakini ndo hivyo tena. Weldi kapu na Big Skriin.......The only reason:closed_2:
hahahahahaha!
HEEEEEYYYYY MY BRAAAA...!utiiniiiiiweeeeeeeeenaaaaaaaa
 
Angalia sana mkulu.. Unaweza pata ruhusa, na yeye akajiruhusu mwenyewe.. Maana anayo ratiba yote!
 
Wote mliotoa comments mnavyojidai mwezi mmoja sio mrefu sana anagalieni isije mkatoka ngoma droo kazi kwenu.
 
Teamo flight ilikuwa ya saa ngapi maana baada ya saa nne sikukuona tena sore ofu topiki!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…