hehehe!Kabla ya meshi kuna pre-match analysis (hii muhimu sana msikose wadau) na baada ya mechi kuna post-match analysis (never miss this).
Kwa hiyo unaenda kabla ya gem, unaangalia gem halafu unangoja na analysis za expert wetu baada ya mechi.......that makes 8hrs!
Jana nili-imiss post match analysis (German VS Australia) kwa sababu ya kitu bia>>>>Kabla ya meshi kuna pre-match analysis (hii muhimu sana msikose wadau) na baada ya mechi kuna post-match analysis (never miss this).
Kwa hiyo unaenda kabla ya gem, unaangalia gem halafu unangoja na analysis za expert wetu baada ya mechi.......that makes 8hrs!
Leo sijui nirudi saa ngapi!!
toka world cup ianze nimeshapewa vitumbua na wake za watu kama wawili hivi....
kwa sababu waume zao wamewa neglect.....
long live wolrld cup.........
Mkuu nimeina na nimeapreshieti kwa kweeli.hehehe!
roya umeona nimekugongea nini kwenye hii posti maridadi kabisa?
Jana nilirudi nyumbani sa 5.45 usiku, ila sikuona mechi ya Brazil na Korea....:A S tongue:Jana nili-imiss post match analysis (German VS Australia) kwa sababu ya kitu bia>>>>
FL1.....asubuhi hapana.....saa 8 inatosha.....hahahaha Wewe RR kama hujafika home asubuhi sijui :A S 39:
Hivi jana Braziv Vs Korea ilikuwa ngapi ngapi?nasikia nyumba ndogo siku hizi wanafaudu waume za watu usisikie? ni mwezi wao huu wa kujidai, mara unashangaa jamaa anarudi home ukimuuliza, darling leo vp nani kamfunga mwenzie anaanza kushangaa hata hana uhakika, kumbe alikuwa kafungiwa ndani, ha haaaaaaaaaa, kaeni chonjo wenzangu.
Hivi jana Braziv Vs Korea ilikuwa ngapi ngapi?
Hivi jana Braziv Vs Korea ilikuwa ngapi ngapi?
Hivi jana Braziv Vs Korea ilikuwa ngapi ngapi?
Sitaki kuzungumzia INFIDELITY hapa Mrs. Hakajambo katarajiwa, au bado?mmmmnh ulikuwa umebanwa nini???
Ahsante kwa taarifa mheshimiwa Sepp Blatter:A S 109:..Mechi iliahirishwa, watacheza leo...πop2:
Hahaha! Yours is noted!Kwani ni Brazil na Korea??? Nadhani ilitakia icheze Brazil na Misri....
nimecheka mpaka makende yanauma lol...:lol::A S 109:..Mechi iliahirishwa, watacheza leo...πop2:
Makende ndiyo vuvuzela au?nimecheka mpaka makende yanauma lol...:lol:
Mate tukutane leo saa 6 kamili usiku pale zero pub kwa ajili ya tathmini ya match kati ya Sauz na Uruguay. (Na hii ifowadi kwa waifu kama kinga ya kuchelewa kurudi leo:hailπMkuu
Teamo, ingawa hujanipa madedikasheni nimeipenda hii nimeikopi nimeshampestia mamsapu kwa email yake, ili anifungulie na mimi niende kujuika na wenzangu - hizi game za kucheki homu duh... Maake Mamsapu wangu anakaba hadi penalti...
Kuna siku alinikuta humu Jamvini (Weekend) kwa hiyo analijua jua ingawa si memba kwa hiyo chief utakuwa umenisaidia saidia kutumia kete yako.