MkuuHauleweki
Unaandika madudu,
Umekuja jukwaani kujidhalilisha tu
Huyo ana shida ya akili, usibishane nayeMkuu
Ni afya ya akili haipo vizuri au Kuna bifu na mtoa mada?
Maisha ni Mpira na Mpira ni maisha mkuu!Kuna maisha nje ya mpira. Yanga yenyewe siiangalii labda nikijua wanaenda kufungwa.
Ndo maana Huwa napenda kumpuuzaTatizo la mleta mada akili yake ipo Kwenye mechi za Simba na Yanga tu!,ila hafuatilii mpira!
Ratiba ishatoka Kitambo
Shida yako muda mwingi unautumia kuiwazia Yanga tu. Na ndiyo maana huko kwingine hujui kinachoendelea. Ila kwa kukusaidia; ni kwamba mashindano yapo! Na yanaendelea.Wakati tumeingia duru la pili la msimu wa NBC mpaka sasa sijasikia mechi zozote zikipangwa au kuchezwa za FA Cup.
Ni kwamba msimu huu kombe halipo au kuna changamoto? Kama wana uhaba wa pesa au CRDB wanazingua waniambie tajiri niongeze mzigo. Msimu huu Simba hatutaki kuacha kitu mezani.
NYONGEZA (HAIHUSIANI NA MADA): Zamani mwenyeji wa mashindano huwa hachezi mechi za kufuzu, siku hizi mashindano mengi ya CAF kama AFCON, hadi mwenyeji anacheza mechi za kufuzu, ina maana mwenyeji anaweza asifuzu mashindano yanayofanyika katika nchi yake mwenyewe?
Ningekuwa naiwazia Yanga kama mnavyodhani basi ningekuwa naangalia hata mechi zake.Shida yako muda mwingi unautumia kuiwazia Yanga tu. Na ndiyo maana huko kwingine hujui kinachoendelea. Ila kwa kukusaidia; ni kwamba mashindano yapo! Na yanaendelea.
Na mpaka sasa timu zimeshapatikana 64, huku moja ya timu ya ligi kuu (Ken Gold) ikiwa imeshatolewa na timu ya ligi daraja la tatu.
OKWI BOBAN SUNZU tangu lini umekuwa platinum member?Huyo ana shida ya akili, usibishane naye