Kombe la Kagame: Azam yaifunga Simba kwa magoli 2-1 na kutwaa kombe

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Leo timu ya Azam imeifunga timu ya Simba kwa 2-1. Hongereni sana leo tungekimbilia wapi na tambo za Manara. Usajili wa kishindo lakini Azam ameibuka kidedea. Kilichobaki tutawaletea Lipuli sasa ije tena iwafunge.
 
mara ooh azam walikuja na kikosi full [HASHTAG]#kwani[/HASHTAG] nyie hamkujua kuwa hayo ni mashindano
 
Yaani kikosi kile ,kikosi bora Africa mashariki na kati ,kinapoteza fainali ya Pili hii mfululizo? asee mpira kweli sio maneno
 
Afadhali na sisi tungejitoa kama Yangafrika
Kuliko kushiriki na kifungwa kwenye fainali.
[emoji4].....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…