Kombe la kiatu Cha ufungaji Bora lililopelekwa Msimbazi , limefumba midomo ya wanamsimbazi kuhoji umri wa Saidoo Ntibazonkiza.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mashabiki wa Simba sc walimuimba na kumkejeli Saidoo Ntibazonkiza kwa kusema kuwa umri wake umeenda na kusema kuwa ni "Babu".

Alipomaliza kandarasi Yanga sc alijiunga na Simba sc akitokea Geita Sc.

Nyimbo za kusema kuwa ni Babu zikaisha kabisa baada ya mshambuliaji Saidoo Ntibazonkiza kuchukua tuzo ya ufungaji Bora na zinginzezo.

Hakika Saidoo Ntibazonkiza ameiheshimisha Simba sc kwa kutwaa hata kombe (ufungaji Bora).

Hakuna shabiki/kiongozi ambaye atathubutu kuhoji umri wa Saidoo Ntibazonkiza kutokana na heshima kubwa aliyoileta msimbazi.

mpaka Sasa sijui ana miaka mingapi??
Screenshot_20230719-125616.jpg
 
Saido Market Value yake ni €250K

Yule wa jana usiku Value yake ni €25 sawa na efu sabini.

Yani buku teni ziwe 7 sawa na efu tano tano 14.

Sawa na efu mbili miatano 28
 
Ukisoma kichwa Cha habari na hoja niliyojenga unapaswa kujibu hivyo??

Kweli Rage anapaswa kujengewa sanamu huko alipo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huyu jamaa uliyemkoti si SI Unit ya ujinga. Tafuta uzi wake humu kuhusu wakristu kuwafunga waislam ndio uone kiwango chake cha ujinga.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ila hata kama Wananchi tumesajili mchezaji mwenye umri mkubwa, ila mashabiki wa simba hawatakiwi kabisa kuwa na ujasiri wa kutunyooshea kidole.

Maana timu yao ina wazee wengi mpaka basi. Ni vile tu baadhi wamewaondoa msimu uliopita.
 
Mashabiki wa Simba sc walimuimba na kumkejeli Saidoo Ntibazonkiza kwa kusema kuwa umri wake umeenda na kusema kuwa ni "Babu".

Alipomaliza kandarasi Yanga sc alijiunga na Simba sc akitokea Geita Sc.

Nyimbo za kusema kuwa ni Babu zikaisha kabisa baada ya mshambuliaji Saidoo Ntibazonkiza kuchukua tuzo ya ufungaji Bora na zinginzezo.

Hakika Saidoo Ntibazonkiza ameiheshimisha Simba sc kwa kutwaa hata kombe (ufungaji Bora).

Hakuna shabiki/kiongozi ambaye atathubutu kuhoji umri wa Saidoo Ntibazonkiza kutokana na heshima kubwa aliyoileta msimbazi.

NB: kumbukeni Saidoo Ntibazonkiza alijiunga Simba sc akiwa na miaka 39 mpaka Sasa sijui ana miaka mingapi??View attachment 2693045
Hiyo 39 ni jersey number. Ndivyo inavyosema hapo juu.

Wapi umeona ni miaka?
 
Saido Market Value yake ni €250K

Yule wa jana usiku Value yake ni €25 sawa na efu sabini.

Yani buku teni ziwe 7 sawa na efu tano tano 14.

Sawa na efu mbili miatano 28
Yanga walimuacha
 
Wachezaji wenye umri mkubwa zaidi kwenye vikosi vya Yanga na Simba.

𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼

◉ 37 yrs — Ntibazonkiza
◉ 34 yrs — John Bocco
◉ 32 yrs — Clatous Chama
◉ 31 yrs — Kapombe

𝙔𝘼𝙉𝙂𝘼

◉ 33 yrs — Skudu Makudubela
◉ 32 yrs — Sure boy
◉ 30 yrs — Jonas Mkude
◉ 30 yrs — Khalid Aucho

Back
Top Bottom