NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ukisoma kichwa Cha habari na hoja niliyojenga unapaswa kujibu hivyo??Saido Market Value yake ni β¬250K
Yule wa jana usiku Value yake ni β¬25 sawa na efu sabini.
Yani buku teni ziwe 7 sawa na efu tano tano 14.
Sawa na efu mbili miatano 28
Mkuu huyu jamaa uliyemkoti si SI Unit ya ujinga. Tafuta uzi wake humu kuhusu wakristu kuwafunga waislam ndio uone kiwango chake cha ujinga.Ukisoma kichwa Cha habari na hoja niliyojenga unapaswa kujibu hivyo??
Kweli Rage anapaswa kujengewa sanamu huko alipo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mnara wake uko Tabora sikoni unaitwa Uamuzi wa Busara.Ukisoma kichwa Cha habari na hoja niliyojenga unapaswa kujibu hivyo??
Kweli Rage anapaswa kujengewa sanamu huko alipo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo 39 ni jersey number. Ndivyo inavyosema hapo juu.Mashabiki wa Simba sc walimuimba na kumkejeli Saidoo Ntibazonkiza kwa kusema kuwa umri wake umeenda na kusema kuwa ni "Babu".
Alipomaliza kandarasi Yanga sc alijiunga na Simba sc akitokea Geita Sc.
Nyimbo za kusema kuwa ni Babu zikaisha kabisa baada ya mshambuliaji Saidoo Ntibazonkiza kuchukua tuzo ya ufungaji Bora na zinginzezo.
Hakika Saidoo Ntibazonkiza ameiheshimisha Simba sc kwa kutwaa hata kombe (ufungaji Bora).
Hakuna shabiki/kiongozi ambaye atathubutu kuhoji umri wa Saidoo Ntibazonkiza kutokana na heshima kubwa aliyoileta msimbazi.
NB: kumbukeni Saidoo Ntibazonkiza alijiunga Simba sc akiwa na miaka 39 mpaka Sasa sijui ana miaka mingapi??View attachment 2693045
Haya niambie umri wake huyo babu ni sawa skuduHiyo 39 ni jersey number. Ndivyo inavyosema hapo juu.
Wapi umeona ni miaka?
Yanga walimuachaSaido Market Value yake ni β¬250K
Yule wa jana usiku Value yake ni β¬25 sawa na efu sabini.
Yani buku teni ziwe 7 sawa na efu tano tano 14.
Sawa na efu mbili miatano 28
Hao ndiyo mababu wa msimbaziHiyo 39 ni jersey number. Ndivyo inavyosema hapo juu.
Wapi umeona ni miaka?