Kombe la Mapinduzi: Hongereni watani, lakini haimaanishi ulikuwa bora zaidi yangu.

Ahsante kwa sizitaki mbichi hizi.Ni dhahiri kwamba bahati haiwezi kuwa ya wote.kama hivyo ndivyo, naamini hata Simba ilitamani kuwapigeni sindano isoganzi ndani ya dk 90 lakini bahati haikuwa yetu.Naamini uwanja,waamuzi na kukosekana kwa TFF kumechangia Ndala kutoshinda.
Poleni sana na mkae mkijua dua zenu hazitakubaliwa.
 

Nadhani Sasa Umeshapata Jibu Kwanini Manji Anawadai Billioni 11....... Hongo Mbaya aisee..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…