Kombe la Mataifa ya Africa (AFCON) kutofanyikia tena Cameroon kufuatia tishio la ugaidi

Katika viwanja vya soka vya Bongo ongezeni na BUNJU VETERAN na kile pale KAUNDA.
 
HAWA CAF N BOMU
UNAPOTENGUA ANAEFWATA ALIESHINDA MSHINDI WA PILI NDIE ANAPEWA AMA KUNA TANZANIA WANAOGOPA TUSIAIBIKE
 
Siasa tu za soka la Africa hizo na kumkomoa X-presida wa Caf
 
Tz tuna viwanja vichache sana. Viwanja bora tz ni vinne au vitano ukijumlisha na ule wa mandela rukwa ukiboreshwa uko safi.
Kenya alshabab hakufai kabisa. Haya makundi ya kiislam ni taabu sana.
Niamini bongo tunaviwanja 10 bora vikikarabatiwa
 
Kwani unafikiri kuhost tournament hiyo ni viwanja tu ndio cha kuzingatia?

Usafiri?

Accomodation? Hotels, hospitality ya watu, security, transport n.k
 
Kwani unafikiri kuhost tournament hiyo ni viwanja tu ndio cha kuzingatia?

Usafiri?

Accomodation? Hotels, hospitality ya watu, security, transport n.k
Hivi vitu kwa Tanzania tunavyo mfano usafiri hawa CAF wana sponsor wao ambaye ni Hyundai au Toyota kama sijakosea ambaye hutoa magari ya usafirishaji kuhusu barabara sina shaka maana viwanja vingi vinapatikana mijini
 
Daah hawa jamaa wanajua sana kuharibu madili ya watu. . . .usikute Cameroon walikuwa washaweka projections za mapata yatayotokana na michezo ya AFCON. Anyways ni kumshukuru Mungu tu, hakuna kingine
 
Hawa waisilamu bhana, yani hii yote sababu ni wao na mambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…