Kombe la mataifa ya afrika 2012

Kombe la mataifa ya afrika 2012

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Posts
5,067
Reaction score
2,210
TANZANIA imepangwa kundi ambalo si la kutisha sana, Algeria, Morocco na Central Africa.

Naona kama tayari itaendelea kuwa ndoto tu kushiriki kwenye mechi hizo. Makundi yamepangwa na bado hatuna 11 wa kwanza, na hatujia who is the next coach.
 
Bongo hatuambulii chochote mbele ya hao waarabu
 
hapo kazi hipo, maana Tanzania, Morocco na C.Africa tunagombea nafasi moja, kwani hiyo moja imeshatwaliwa na Algeria
 
Na kocha akiwa mzalendo wetu aah hatuna tabu siye ni kuomba Mungu atatuepusha na balaa hili
 
Tusiogope, kila kitu kinawezekana. Kinachotakiwa, mkakati wa kumpata kocha mpya ufanywe haraka ili aanze matayarisho mapema. Hizi janja za kututafutia mechi za kujipima nguvu chini ya Maximo wakati inajulikana kocha mpya atachagua wachezaji tofauti na hawa waliopo hazitatupeleka popote.
 
hapo kazi hipo, maana Tanzania, Morocco na C.Africa tunagombea nafasi moja, kwani hiyo moja imeshatwaliwa na Algeria

Na hiyo moja iliyobaki ilishachukuliwa na Morocco.
 
Na hiyo moja iliyobaki ilishachukuliwa na Morocco.

Tunagombea nafasi ya tatu, lakini si rahisi kuipata maana C. Africa wako far better kuliko sisi. Tukiwa na kocha mzalendo ataonesha uzalendo kwa kuomba mungu, as they have always done.
 
Back
Top Bottom