TANZANIA imepangwa kundi ambalo si la kutisha sana, Algeria, Morocco na Central Africa.
Naona kama tayari itaendelea kuwa ndoto tu kushiriki kwenye mechi hizo. Makundi yamepangwa na bado hatuna 11 wa kwanza, na hatujia who is the next coach.
Tusiogope, kila kitu kinawezekana. Kinachotakiwa, mkakati wa kumpata kocha mpya ufanywe haraka ili aanze matayarisho mapema. Hizi janja za kututafutia mechi za kujipima nguvu chini ya Maximo wakati inajulikana kocha mpya atachagua wachezaji tofauti na hawa waliopo hazitatupeleka popote.
Tunagombea nafasi ya tatu, lakini si rahisi kuipata maana C. Africa wako far better kuliko sisi. Tukiwa na kocha mzalendo ataonesha uzalendo kwa kuomba mungu, as they have always done.