syndicate
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 238
- 391
Assalam alaikum!
Bwana Yesu Asifiwe!
To Yesu Kristo!
Nina mshukuru Mungu kwa kunipa Pumzi ya uhai na nafasi ya kuandika ushauri wangu, kwa Taifa langu pendwa Tanzania!
Nakupenda sana Tanzania, Naipenda Tanzania kwa Moyo wangu wote!
Naomba nitoe pongezi nyingi kwa Mheshimiwa Rais wa JMT, Rais Dr.John JP Magufuli na Timu yake yote ya uongozi kwa Kazi kubwa wanayoifanya!
Mungu awabariki sana!
Michezo ni Afya, michezo ni ajira, michezo ni Burudani, Michezo ni Uchumi!
Leo naomba kutoa ushauri wangu wa dhati na Mungu nisaidie Rais wetu mpendwa achukue ushauri huu, na kuufanyia kazi!
Ni kuhusu KOMBE LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA!
Nina imani viongozi wa mamlaka husika (KAMATI YA MASHINDANO LIGI KUU, TFF, BMT, WIZARA YA MICHEZO, WIZARA YA MALI ASILI NA UTALII, NA WADAU WENGINE) watasoma! Lakini pia vyombo vya habari na wanazuoni mbalimbali na wasio wasomi, wenye kulitakia mema Taifa letu watasoma pia!
Taifa letu linapita katika kipindi Muhimu Cha Mageuzi ya kiuchumi! Mageuzi ya kasi na viwango! Mageuzi ambayo yanahitaji watendaji makini na wazalendo, wenye mawazo na maono chanya juu ya nafasi ya Tanzania duniani! Ustawi katika nyanja zote! Tanzania na watu wake, Tanzania ya vizazi vijavyo!
Umefika wakati sahihi Sasa kuamua, kufanya maamuzi magumu kwa mistakabali wa Taifa letu! Dunia nzima Sasa hakuna asiyefahamu, kuwa madini ya TANZANITE yanapatikana Tanzania pekee ulimwenguni kote! Serikali imefanya, na inazidi kufanya kazi kubwa kwenye sekta ya madini kupitia WIZARA, mamlaka na wadau wake wote!
01.Kwanini tusithamini na kuuenzi UPEKEE huo?
02.Kwanini tusiendelee kuutangaza UPEKEE huo?
USHAURI WANGU; kwa
Serikali na vyombo vyake,
01."UFANYIKE USANIFU, UBUNIFU MPYA NA KUTENGENEZWA WA KOMBE JIPYA LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA, ILI KUHAKISI NA KULITANGAZA TAIFA LETU TANZANIA KWA UPEKEE (ICONIC DESIGN) HASA KWA MADINI YETU YA KIPEKEE YA TANZANITE"
Hii itasaidia kulifanya kombe hilo kuonekana na muonekano wa KIPEKEE duniani, na kuongeza uthamani wa kombe hilo!
Tofauti na muonekano wa kombe ilo kwasasa, ambapo halina tofauti na vikombe vya shule za sekondani, msingi au michezo mingine tunayoifahamu.
02."YAFANYIKE MABADILIKO MADOGO YA JINA LA KOMBE"
Nafahamu Kuna sheria mbalimbali zinazomlinda mdahamini mkuu wa ligi ya MPIRA wa miguu Tanzania, MFANO Vodacom Tanzania premier league! Hivyo lifanyike badiliko kuu principle Change kombe liitwe TANZANITE PREMIER LEAGUE! whoever comes! Asibadili jina hili, jina I'll liwe ICON kwa Tanzania Football premier league! Bila kuathiri kanuni kwenye uwepo wa jina la mdhamini mkuu wa ligi!
IKUMBUKWE:
01. LIGI YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA KWASASA NI MIONGONI MWA LIGI BORA AFRIKA!
Ikishika nafasi ya 13 kama sio 12! Viwango vya CAF(Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika)
Hivyo kuiweka katika orodha ya ligo 100, zinazofuatiliwa zaidi duniani!
02. MECHI KATI YA WATANI WA JADI TANZANIA SIMBA NA YANGA! (Maarufu Kama KARIAKOO DERBY)
Ni Miongoni mwa Derby 3 tatu kubwa zaidi Afrika kwasasa, Ikishishika namba Tatu! Kwa Derby zinazovuta hisia za mashabiki zaidi katika ukanda huu wa Afrika mashariki na Kati! (Ref. Wikipedia)
Hivyo mechi hii na ligi hii ni miongoni mwa ligi bora zinazofuatiliwa zaidi Duniani!
SERIKALI YANGU SIKIVU NAOMBA IANGAZE KWA UMAKINI ZAIDI SUALA HILI KATIKA KUUTANGAZA UTALII WETU NA FURSA ZAIDI NDANI YA LIGI HII!
"Utani wa jadi wa Simba na Yanga umekuwa Ni utamaduni wa watanzania wengi Bara na visiwani, yapwaswa utazamwe kwa jicho la kifursa na kiutalii zaidi!
Yote yanawezekana tukiweka dhamira, Tukiamua na kuchukua hatua!
Naomba serikali iliangazie suala hili kwa jicho la Tatu!
Tuwe wazalendo! Tanzania Ni yetu sote!
Karibuni kwa maoni!
NAOMBA KUWASILISHA!
Muonekano wa kombe la Vodacom Tanzania premier league kwasasa!