kumbe mimi nikajua mbwembwe kumbe yeye ndio kamati ya ufundisio ustaadh ni mjumbe wa kamati yetu ile
mkuu kule siendi na smrtphone maana hukawii kuiacha kwa vijana wa faru jeuri, naweka line kwenye kinokia tochi, ndondo haitaki ubishoo coz sometimes inabidi kujichanganya katikati ili kubambia watoto wa uswazi kupunguza stress za kwenye kazi za wahindituwekee picha mkuu
mkuu kule siendi na smrtphone maana hukawii kuiacha kwa vijana wa faru jeuri, naweka line kwenye kinokia tochi, ndondo haitaki ubishoo coz sometimes inabidi kujichanganya katikati ili kubambia watoto wa uswazi kupunguza stress za kwenye kazi za wahindi

kuna kuku wa kienyejikuna kubambia tena mkuu?? Sio mchezo aiseee
hawezi jichanganya kati ya wana sasa mimi siwezi kwenda ndondoni then nishindwe kujichanganyambona huyo policcm hapo pemben ana smart????
ndondo cup noma sana. kwanza hongera kwa fauru jeuri
Simba SC ilishika nafasi ile ile ya tatu? Pole zao kwa kushindwa kuambulia hata nafasi ya pili.