Ulikuja na uzi wako uchwara hapa, wakati simba inacheza na Usgn, mwishowe ukaishia kuumbuka na kuukimbia!
Hizi ramli zenu utopolo mwisho wake mtaishia kuumbuka tu.
Kiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda sababu ya CEO wake Simba uwezo wake ni wa kawaida sana. Yaani sana. Kama unavyoiona Ruvu Shooting au...
Na huu uzi wako uchwara nao utaukimbia na kuishia kuumia tu, na kama ni hao waganga wako unaowategemea ambao nao ni uchwara wataendelea kukupiga hela, na matokeo mazuri ya simba yataendelea kukuumiza!
Na kwa upande wa litimu lako la utopolo kwenye michuano ya kimataifa ilishalaaniwa haitokaa ifanye vizuri huko, kwa chuki zenu dhidi ya mafanikio ya simba!
Utelembwe ikifanikiwa kushiriki tena, mwishowe ni aibu kama kawaida.