Hahahaaa. Umeonaeee.Wanakula saba hawa
Hahaha tawi gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu wakali wa terminalNdio Mkuu Yanga lia lia Teh teh
Hahahaaaa. Itabidi nikaribie hilo tawi lenu aiseee.Hahaha tawi gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu wakali wa terminal
Nimefika mamaaa
Nipo hapaHahahaaa. Sawa rafiki.
Tunacheza leo.
Karibu Shoga. Tunawapeleka puta Wapinzani wetu lakini magoli ndio hayataki kuingia.Nipo hapa
Kila la kheri.Ewaaaa. Kila la kheri timu yangu niipendayo toka moyoni wana wa Jwangani.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Dua zangu zipo kwenu...usijali mtashinda tu.Nimetokea kuwaungeni mkono bila shuruti.
Hongereni...!Woyooooooo
Hahaaa. Sio kwa sababu tunaongoza Mtani au ndio Uzalendo?Dua zangu zipo kwenu...usijali mtashinda tu.Nimetokea kuwaungeni mkono bila shuruti.
Ahsante sanaHongereni...!
Mkitubagua wekundu tutawaachieni timu yenu.Karibu kaka Joseverest tushangilie timu yetu.
A.k.a Yanga kindakindaki.poa poa Dada Hajar
Hahahaaaa. Sijawabagua bwana.Mkitubagua wekundu tutawaachieni timu yenu.
Ha ha ha ha...!