Kombe la Shirikisho Africa: Yanga yapata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Welayta Dicha

2-0 was not enough but si mbaya
A win is a win ngoja tuone Ethopia tutafanyaje
 
Reactions: ram
Naiona mechi ngumu sana tukienda Ethiopia kama mpira wenyewe huu wanaocheza Yanga sijui.Mwalimu naona ana mbinu hafifu sana halafu mzito sana kufanya mabadiliko kwa wachezaji ambao hawako vizuri uwanjani
 
Wahamiaji haramu wamepigwa na kwao tunaenda kuwapiga nyingi
Siyo wabovu kihivyo,labda kwasababu Chirwa,Makapu na Yondani watakuwa wameshamaliza adhabu.Hata kipa wao kasema kabisa wana uhakika wa kusonga mbele.Mimi kinachoniogopesha kwa Yanga siku zote huwa wanadharau hizi timu ambazo hazina majina
 
Hivi kwa uchezaji ule wa kupiga piga chenga zisizo productive na forward zile ndo zitaqualify?

Yanga muwakilishi pekeee mpaka sasa kutoka Tanzania
 
Naiona mechi ngumu sana tukienda Ethiopia kama mpira wenyewe huu wanaocheza Yanga sijui.Mwalimu naona ana mbinu hafifu sana halafu mzito sana kufanya mabadiliko kwa wachezaji ambao hawako vizuri uwanjani

chief wachezaji wa bongo hawajui kujiongeza wanacheza tu ilimradi mpira uishe...hebu ona kwa mfano beki wa pembeni au winga akipewa mpira anachowaza ni kupiga krosi tu! bila kujali wenzake wapo eneo la tukio au la! wakati alipaswa kuturn au kuchekecha ili kusubiri wenzake waingie ndani!. yaan wanacheza soka la kukariri mno creativity ni 0% hya achana na hilo tuje kwenye suala la kukaba wachezaji wa ditcha walikuwa wanaanza mpira kwa kipa wanapasiana mpk wanafka golini kwa yanga bila hta kupata upinzani, shukrani ziende kwa mabeki na kipa hii inamaanisha viungo wa yanga wanakaba kwa macho yaani mchezaji hta kupiga tackling au kumghasi mchezaji atoe pasi fyongo hawawezi.... mwisho wa siku wanawapa mzigo mkubwa mabeki, na hii iliwagharimu sana hta mechi dhidi ya township
 
Hata mimi nimeliona hilo tatizo,halafu ni sugu kwa Yanga lakini kocha yupo na anaangalia tu.Kwa kifupi kwa mechi kama ya leo yanga kashinda lakini mimi mshabiki roho ilikuwa bado juu mpaka mpira ulivyoisha,na hata mechi ya marudiano sina imani kabisa kama anaweza kusonga mbele kwenye hatua ya makundi
 
Naiona mechi ngumu sana tukienda Ethiopia kama mpira wenyewe huu wanaocheza Yanga sijui.Mwalimu naona ana mbinu hafifu sana halafu mzito sana kufanya mabadiliko kwa wachezaji ambao hawako vizuri uwanjani
Mtaalam kama wewe tuelezee wachezeje
 
mechi ijayo kukaba kutawapa guarantee ya kuvuka km watacheza staili yao ya kukaba kwa macho kipigo kitawahusu
 
Kumbe shiririkisho ni kulaini namna hii,najiuliza mikia walishindwaje kusonga mbele
 
Tatizo timu za Tanzania siku zote kiwango hakipandi sababu wanadhamini wachezaji WA nje wakati Tanzania Ina vipaji vingi.wafungaji wote mechi ya jana Ni WAtanzania.
wachezaji WA nje wanachukua ela Tu hawana jipya wangekuwa na jipya wangeenda south Africa,north Africa au europe.
mechi ya yanga v Botswana wachezaji WA nje walikuwa wanakimbia Tu bila mbinu yoyote magoli hawafungi.
 
ukiona hivyo utambue stamina Ni mgogoro hawapendi kujishughulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…