Tbc je hawarushi hyo mechi
hii live stream ya azam inaboa balaa
Mkuu wanatangaza Ziara za Kinana na kampeni ya kupitisha katiba mpya
Tunaotumia simu hatuhusiki?
Kuna mchezaji wa BDF kapewa kadi nyekundu?
Hii live streaming ya Azam inakwama kwama sana
Mkuu wanatangaza Ziara za Kinana na kampeni ya kupitisha katiba mpya
Tunaotumia simu hatuhusiki?
Tuombe.... Baba yetu uliye mbinguni ibariki Yanga leo, ibariki pia Azam kesho kule Ethiopia. Mungu wetu ibariki TFF, tubariki na watanzania wote kwa ujumla. Wote humu jf tuseme Ameen.... !

hawa bdf walivyo vibonde hata akicheza na stand atafungwa tuu