Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Yaani ... huuh!!!
me najua mechi ni kesho kumbe imepigwa leo. Naomba matokeo
me najua mechi ni kesho kumbe imepigwa leo. Naomba matokeo
wao 1 sisi 1
BDF 2- yang 1
dakika zimebaki ngapi mkuu?Live stream naona imekata
dakika zimebaki ngapi mkuu?Live stream naona imekata
Ili wasonge mbele sharti waongeze mengine mawili hao BDF
Mkuu niko barabarani dakika zimebaki ngapi.?