Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

Hawa Makhirikhiri wasingeruhusu lile goli la Anduje wangeenda kwenye penati.
 
Bora imepita, ila kipindi cha pili yanga walipaniki baada ya jamaa kusawazisha
 
Yanga watacheza na Zamaleck ya Misri mechi inayofuata...

Tuone sasa kama mtakuwa tena na kelele hapa JF.
 
Asante sana mkuu tumepita japo kwa pressure

Mkuu hakuna pressure hapo ad long as Ngasa alishapiga bao la kuwachanganya makhirikhiri mapema. Ndo soka ilivyo. Haya waleteeeee Wamisri. Hii ndo Yanga kaka.
 
Yanga watacheza na Zamaleck ya Misri mechi inayofuata...

Tuone sasa kama mtakuwa tena na kelele hapa JF.
Mkuu Mandla!
Hivi wenzetu mtakutana na timu gani hatua inayofuata!!!, hivi hizi ni habari za kweli kuwa mtakutana na timu ya kutoka pale nchini Angola ya FC LIBOLO!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…