Hawa tunawamudu. Kila la kheri mwanetu Namungo. Kuna Paka alikatiza nyuma ya goli, sijui katumwa na nani.Sabiloooo Gooooooooooooal, Namungo FC wanaandika bao la pili
CD De Agosto 1-2 Namungo FC
Postponed nyumbani kwako?
Yeah, tuna goli 2 za ugenini mpaka sasaJambo jema ni kwamba Namungo imepata goli ugenini. Leo Agosto yupo nyumbani kwao Chamazi ya Angola.
Very nice.Yeah, tuna goli 2 za ugenini mpaka sasa
Nimesikia inaonyeshwa Azam TV - ZBC2Hii game haionyeshwi mkuu, sababu sijajua bado na hapa kuletea kwa vile nipo uwanjani
Au fuatilia 107.3 UFM kwa njia ya radio
Tuko pamoja mkuu..nasikiliza hapa kupitia UFM namsikiliza KABOMBE mubashara kabisa.46' Naaaam kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Azam Complex
Cd de Agosto 1-2 Namungo FC
Hizi baraka sio kwa Namungo tu. Nchi yetu pia inaviashiria vya baraka toka kwa Mungu.Namungo timu yenye Bahati Dunia nzima sio kwa Bahati hii walioipata.
Hii vita inaonekana hata mechi ijayo itaendelea, Namungo wapambane haswa, wasijione wako nyumbani waka rilaxx, hao jamaa wanajua hawana cha kupoteza sasa wanafunguka tu..53' Agosto sasa mbele kuleee inapigwa Kauntaaaa
Gooooooooooooal
Agosto wasawazisha hapa uwanja wa Azam Complex
Cd de Agosto 2-2 Namungo FC