Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hujui?Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa?
Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki
Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi limesahaulika na kila mtu?
Thread ifungiwe hapaHakuna timu ya bongo inayoshiriki kule ila mapambano Bado yanaendelea
Miaka hii mitatu hamna raha kabisa.Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa?
Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki
Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi limesahaulika na kila mtu?
Timu ya Simba ilichoma uwanja na bado ilitembeza gari kinyume nyume kutoka Bunju hadi Temeke sababu ya kombe hilo hilo. Ila ajabu haikuwahi kuambulia kitu.Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa?