Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Mpaka sasa goli 2-0...ila la pili ndio limeingia sasahivi..wao watapata goli moja. Tutapata na penati moja sasa hii penati tukifunga tumepeta. Mpira kwa muhtasari ndio huo.
 
Hivi tbc2 kuna vifurushi vya siku au wiki nilipie ili niangalie huu mtanange? Kweli nimeona michezo sio kipaumbele ktk nchi. Yani tv ya taifa kuangalia michezo nilipie ten?
 
Kungekuwa na uwezekano wa kubadilisha makao makuu ya CAF yangebadilishwa kwa maana CAF ipo kwa ajili ya kuzibeba timu za ukanda wa kaskazini-magharibi kwa mfumo wa upangaji wa ratiba yao.
 


Mashindano: Kombe la Shirikisho la CAF, Raundi ya 2, Mechi 1

Yanga Afrika vs Etoile Sportive du Sahel

Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Saa 10 Jioni
 
Aje. Tutampa kazi ya kugawa maji ya kunywa kwa wachezaji wetu.

Tungewapa awapigie goli la mita 40, unalikumbuka? Baada ya hapo mngempa maji agawe kwa waliozimia! khiiiii khiiiiiiikhiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhh! Hawa Jamaa Wapuuzi Sana Mkuu. Kwanini Hawakusema Tokea Jana? Nimeshajikatia Tayari Tiketi Yangu Ya Buku Gwala. Wamenitia Hasara Kweli Kweli!

Afadhari uende, tbc wanaonyeshaga mpira kama bunge. kamera moja tu na inakimbizana na mpira. Mpira mida mingine unadunda au unakuwa fasta, Kamera na picha hubaki nyuma. Ni kero! Nenda kacheki boli laivu.
 
Nyie saizi yenu mgambo, mtasubiri sana.......

Kawaulize Zamalek, Watakupa majibu mazuri tuu. Pia tumecheza CAF fainali. Kama unabisha nenda kaulize ofisi za CAF pale cairo nafikiri, nao watakupa majibu mazuri tuuu.
 

asante mkuu ila nimakisa ya kawaida tu hayo
 
najiuliza tu ni kwa nini Yanga mechi zao zote wameanzia nyumbani?
 
Hivi tbc2 kuna vifurushi vya siku au wiki nilipie ili niangalie huu mtanange? Kweli nimeona michezo sio kipaumbele ktk nchi. Yani tv ya taifa kuangalia michezo nilipie ten?
usiogope lipia buku(1000) yako tu kupitia m-pesa utaona tv yako sio kwa siku moja i think n 3, ila shida ni kwenye DSTV sijui ntaonea wap
 
Yanga wapigeni goli nyingi hawa ili tukienda kwao hata hujuma zikashindwe kufanikiwa.
 
Mwisho wa kelele za kandambili unaanza leo.. Wakishapakatwa leo kelele zitapungua

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kila la kheri Yanga...

Mleta mada Wonderful hakikisha updates zote unapandisha juu...

Walau kila baada ya dk 10 uwe unaweka livescores hii ni mechi kubwa si kama zile za VPL....

Kwa msaada zaidi jaribu kutembelea thread zote za Live Updates ambazo zimewahi anzishwa na Watu8
 
Last edited by a moderator:
Kikosi kinachoanza katika mchezo wa leo

Batez
Juma
Oscar
Yondani
Nadir
Twite
Dilunga
Haruna
Tambwe
Ngasa na Msuva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…