Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Mukishapata ushindi musije mkatulaza mapema.
 
hii mechi si mmesema inaanza saa tisa, mbona TBC2 pakavu???
 
Yanga wakishinda nanunua jezi Yao, hata ka sio timu yangu

Sioni sababu ya Yanga kushindwa kumfunga huyu mwarabu koko, ukiangalia kipa yuko fiti, beki ni imara sana ikiongowa na nahodha wa timu 3 cannavaro, viungo wakiongozwa na fundi Niyonzima watakuwa wanapiga mipira mirefu yenye uhakika kuwafikia mawinga hatari sana hawa madogo ngasa na msuva ambao kazi yao ni moja tu kutoa pasi za mwisho kwa wafungaji makini kama Tambwe na sherman. YANGA 3 - 0 ETOIL SAHEL
 
Hahahaaa! Tuongeze du'a jama.
Leo nina wakati mgumu sana, huku Yanga kule Arsenal!
πŸ™πŸ™πŸ™

mimi si arsenal ila hapo mnashinda leo...kimbembe fainal wembley...muombee jamaa watutoe la sivyo lazma tulipize kisasi cha goli 4.
 
mimi si arsenal ila hapo mnashinda leo...kimbembe fainal wembley...muombee jamaa watutoe la sivyo lazma tulipize kisasi cha goli 4.

Hahahaaa! Kisasi hakilipwi hivihivi. Hesabu goli nyingine 3-1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…